Selasini: Ni aibu kwa mwenyekiti wa Chama cha Siasa kukaa madarakani kwa miaka 20, mnawanyima Vijana fursa za Uongozi

30 yuko sahihi kuhusu kukaa madarakani mrefu, sasa hapo anaposema vijana wananyimwa nafasi ya uongozi, yeye mbona hajawaachia vijana hiyo nafasi?
 
Wamuondoe kwa kufuata utaratibu.

Utetezi wa uchafuzi alioufanya hauna mantiki yeyote.
Kuondolewa ni kuondolewa hata kwa mapinduzi. Imebaki Chadema huwezi kuwa m/kiti tangis mwaka 2000. Mbowe ni mshirikina amewashika akili mazuzu wengi. Mtu anaachiwa uongozi na baba mkwe bado mazuzu hayaelewi. Baba mkwe fisadi na msaliti alifukuzwa pale BOT na baba wa Taifa.
 
Mbowe ni nini??
 
Kumbe ndio maana amempindua Mbatia, ile sababu nyingine aliyoitoa ya Mbatia kuuza nyumba mbili ni uongo mtupu, sasa sishangai tena wahuni kuwekwa viti vya mbele kwenye taifa letu, sheria zimetupwa mbali.
 
Selasini ameonya vyama vya Upinzani Kuacha kuwasingizia CCM na Usalama kwenye mgogoro huo kwani hayo ni mambo ya NCCR wenyewe
Huyu ndio bogus mkubwa kabisa atakiua hiki chama kilicho ICU, huyu 30 kwanza hana maadili hata chembe na ni kibaraka tu huyu kama mwenzie mbatia au zitto.
 
endapo hiyo ndio ajenda walioibeba naunga mkono hoja

Miaka 20 ameifanyia nn NCcR Bora mwenyekiti wa CHADEMA unaweza mwita na anaweza jitetea nimefanya lile na hili
 
ye mwenyewe mzee apishe vijana,njaa tu inaponza.
 
Selasini mbona ni kichaa siku nyingi na ana laana toka kwa baba yake
 
Watamfanyanini mzee na saccos yake?..Kasha jikamatia nyumbu zake anaziendesha atakavyo.
 
Selasini ana ana tatizo la nafasi ya juu au katumwa na walewale mamluki wa upande ule!!
 
Sasa mbona wamejipa madaraka tena wazee? Alivyofanya uchaguzi si wangesema wagombee vijana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…