Selasini: Tumemfikisha Mbatia Takukuru kwa kuuza Nyumba 2 za ghorofa na Shamba ekari 45 mali ya NCCR

Selasini: Tumemfikisha Mbatia Takukuru kwa kuuza Nyumba 2 za ghorofa na Shamba ekari 45 mali ya NCCR

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Makamu mwenyekiti wa NCCR mzee Selasini amesema aliyekuwa mwenyekiti wao Mh Mbatia ameuza shamba hekari 45 Bagamoyo, Nyumba mbili za ghorofa Bunju DSM na Nyumba moja mkoani Mara na Fedha kuzichukua yeye binafsi.

Tumekabidhi swala hili Takukuru ili kushughulikiwa kwani lilishahojiwa hata na CAG amesema Mzee Selasini.
 
Sasa hapo kuna rushwa gani? Nawaza kuwa ilitakiwa apelekwe POLISI ili afikishwe mahakamani. Vinginevyo hii ni drama tu
 
Towards 2025! Haya majitu kama hayana akili vile; for 30 yrs they have been behaving similarly and they seem not to change in the near future. May be generations to come.
Chama chenye changes ni ccm tu bro
 
Lijualikali alilia bungeni sababu ya ubarifu wa billion 7 za michango ya wabunge wa chadema
Unaaminije alilia wakati ilikuwa unaona wazi mchana kweupe wakinunua watu wa upinzani enzi hiyo.
Ana tofauti gani na Nasari aliyepokea zake akakaa kimya!
 
MIAKA YOTE YA MBOWE KILA CAG ANAYETEULIWA NA MWENYEKITI WA CCM WANAKUJA NA KUPITA HAWAJAWAHI KUONA UBADHIRIFU WA MBOWE CHAMANI ETI WEWE MKUN.DU WA CCM NDO UMEONA.
Mkun.un wako mweusi
 
Back
Top Bottom