Selasini: Tumemfikisha Mbatia Takukuru kwa kuuza Nyumba 2 za ghorofa na Shamba ekari 45 mali ya NCCR

Selasini: Tumemfikisha Mbatia Takukuru kwa kuuza Nyumba 2 za ghorofa na Shamba ekari 45 mali ya NCCR

Huyu si alikua Chadema juzi tu hapo??

Tangia lini ameanza kuwa na uchungu na mali za NCCR??

Siasa zetu zinatufanya wote tuonekane wajinga aisee.
Unatakiwa ukae muda gani kwenye chama ulichohamia ndio uanze kuwa na uchungu?
 
Siku Mbowe anaondoka mtasikia mengi zaidi ya haya, ubadirifu uliopo Chadema ni wa kutisha
na hataondoka atafia humo kwa kuogopa mambo kama hayo.huwezi kuwa mjasiriamali na ukaongoza chama.hapo uje tu ni lazima mali za chama zitakwapuliwa.
 
Makamu mwenyekiti wa NCCR mzee Selasini amesema aliyekuwa mwenyekiti wao Mh Mbatia ameuza shamba hekari 45 Bagamoyo, Nyumba mbili za ghorofa Bunju DSM na Nyumba moja mkoani Mara na Fedha kuzichukua yeye binafsi.

Tumekabidhi swala hili Takukuru ili kushughulikiwa kwani lilishahojiwa hata na CAG amesema Mzee Selasini.
Huyu Selasin anachokitaka atakipata very soon, Yani unakaribishwa kwenye mji wa mtu alafu unajfanya kambale
 
Siku Mbowe anaondoka mtasikia mengi zaidi ya haya, ubadirifu uliopo Chadema ni wa kutisha
CDM ni chama kiko makini sana sio kama unavyowazia wewe mwehu!
CDM hasa viongozi wametafutwa sana hadi kuwatumia CAG na PPCB lakini walishindwa kugundua au kuona tatizo!
Chama kinaendeshwa kwa akili na watu wenye akili, wewe baki na akili zako za kuvukia barabara!
 
Makamu mwenyekiti wa NCCR mzee Selasini amesema aliyekuwa mwenyekiti wao Mh Mbatia ameuza shamba hekari 45 Bagamoyo, Nyumba mbili za ghorofa Bunju DSM na Nyumba moja mkoani Mara na Fedha kuzichukua yeye binafsi.

Tumekabidhi swala hili Takukuru ili kushughulikiwa kwani lilishahojiwa hata na CAG amesema Mzee Selasini.
30 ni kitengo, mbatia ni kitengo pia. Tofauti zao ni Mahali wanaporeport!!!!
 
Vyama vya wachagga na vita ya maslahi baina ya wachagga wenyewe
 
Bwashee haraka ya nini? Subiri basi jamaa asepe watu waanze kushusha nondo. Waseme sasa hivi, kwani hawajipendi? Sumu haionjwi kwa ulimi 🤣🤣
Siyo hoja na wala si sahihi.Kama ana makosa yatajwe leo akabiliane nayo au akanushe.Na kama ana cha kusifiwa,asifiwe leo.Kinyume na hapo mtaonekana mnataka mu-fabricate uhasidi.
 
Back
Top Bottom