johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Uweke hadharani leo hiiSiku Mbowe anaondoka mtasikia mengi zaidi ya haya, ubadirifu uliopo Chadema ni wa kutisha
Towards 2025! Haya majitu kama hayana akili vile; for 30 yrs they have been behaving similarly and they seem not to change in the near future. May be generations to come.Kazi imeanza
Kwani ameshaondoka?Uweke hadharani leo hii
Swali zuri akikujibu nitagKwani ameshaondoka?
Sasa hapo kuna rushwa gani? Nawaza kuwa ilitakiwa apelekwe POLISI ili afikishwe mahakamani. Vinginevyo hii ni drama tuMakamu mwenyekiti wa NCCR mzee Selasini amesema aliyekuwa mwenyekiti wao Mh Mbatia ameuza shamba hekari 45 Bagamoyo, Nyumba mbili za ghorofa Bunju DSM na Nyumba moja mkoani Mara na Fedha kuzichukua yeye binafsi.
Tumekabidhi swala hili Takukuru ili kushughulikiwa kwani lilishahojiwa hata na CAG amesema Mzee Selasini.
Kwani ana kinga ya kutoshtakiwa awapo uongozini?Toa huo ushahidi au acha kubumba vitu kama huna.Kwani ameshaondoka?
Bwashee haraka ya nini? Subiri basi jamaa asepe watu waanze kushusha nondo. Waseme sasa hivi, kwani hawajipendi? Sumu haionjwi kwa ulimi 🤣🤣Kwani ana kinga ya kutoshtakiwa awapo uongozini?Toa huo ushahidi au acha kubumba vitu kama huna.
Wewe kila mwenye akili timamu hapa jukwaani anakudharau.Siku Mbowe anaondoka mtasikia mengi zaidi ya haya, ubadirifu uliopo Chadema ni wa kutisha
Lijualikali alilia bungeni sababu ya ubarifu wa billion 7 za michango ya wabunge wa chadema
Hawa watu kuwang'oa ni vita, kufa ama kupona.Siku Mbowe anaondoka mtasikia mengi zaidi ya haya, ubadirifu uliopo Chadema ni wa kutisha
Chama chenye changes ni ccm tu broTowards 2025! Haya majitu kama hayana akili vile; for 30 yrs they have been behaving similarly and they seem not to change in the near future. May be generations to come.
Unaaminije alilia wakati ilikuwa unaona wazi mchana kweupe wakinunua watu wa upinzani enzi hiyo.Lijualikali alilia bungeni sababu ya ubarifu wa billion 7 za michango ya wabunge wa chadema
Hadi wameshindwa kujenga hata ofisi,ndio mana wamepanhisha nyumba ya kulala kama ofisi kuu za chamaSiku Mbowe anaondoka mtasikia mengi zaidi ya haya, ubadirifu uliopo Chadema ni wa kutisha
Mkun.un wako mweusiMIAKA YOTE YA MBOWE KILA CAG ANAYETEULIWA NA MWENYEKITI WA CCM WANAKUJA NA KUPITA HAWAJAWAHI KUONA UBADHIRIFU WA MBOWE CHAMANI ETI WEWE MKUN.DU WA CCM NDO UMEONA.
Sema siasa za chademaHuyu si alikua Chadema juzi tu hapo??
Tangia lini ameanza kuwa na uchungu na mali za NCCR??
Siasa zetu zinatufanya wote tuonekane wajinga aisee.
Ccm hakuna ubadhirifu?Siku Mbowe anaondoka mtasikia mengi zaidi ya haya, ubadirifu uliopo Chadema ni wa kutisha