Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,367
- 11,604
Ata maintain low cost ?Ulikuwa wapi? Mbona umechelewa? Ila sio mbaya japokuwa umetukuta na makovu makubwa sana yaliyosababishwa na hawa mabepari kwa kutushushia vitu vizito pasi na huruma
Kwa sasa, vijisenti vyangu navieka mahali salama, baada ya wiki navichungulia, navikuta vikiwa vile vile. Wangekuwa hawa mabepari ungekuta tayari washakata nusu eti running cost, damn!
Kwa sasa malipo mtandaoni nafanya bure. Card langu la kielektroniki natembea nalo mtandaoni. Kiufupi hakuna shido!
Kutoa pesa sasa, makato madogo kuliko mpaka yanachekesha!
Selcom Pesa, uishi milele!
Lazima watabadilika kumbuka halotel walivyoingia vifurushi vilikuaje ujazo wake! Baadae wakaja kubadili kimya kimyaWakibadili mfumo, tunahamia kwenye vibubu vya Mzee Hamada, mara mia yeye awe anatukata vi 200 200 kwa kutumia mfumo wa Chuma Ulete. Ila sidhani kama watabadilika
Nimependa sana maswali yako. Lazima utakuwa ni big brainmtoa mada naona kama umepagawa kiasi hueleweki..unatuambia kuhusu Selcom Pesa lakini hauna maelezo ya maana wakati ni ww ndio unaitumia... hio ndio kitu gani na inafanyaje kazi..je,Selcom pesa ni benki,microfinance,au ipo kama kina m pesa na azam pesa yaani iko vp..na hiyo Selcom pesa tunaipata vp je,tupige namba ipi kupata menu yake au ni app inabidi tuka download playstore na unajisajili vipi..je,pesa unawekaje huko Selcom pesa kwa kutumia mpesa au benki au kwa wakala.? na je,ukitaka pesa yako unaipataje na unaichukulia wapi je,wana mawakala au vituo mitaani.?
Usijali mkuu, wewe kaa kwa kutulia dawa ikuingiemtoa mada naona kama umepagawa kiasi hueleweki..unatuambia kuhusu Selcom Pesa lakini hauna maelezo ya maana wakati ni ww ndio unaitumia... hio ndio kitu gani na inafanyaje kazi..je,Selcom pesa ni benki,microfinance,au ipo kama kina m pesa na azam pesa yaani iko vp..na hiyo Selcom pesa tunaipata vp je,tupige namba ipi kupata menu yake au ni app inabidi tuka download playstore na unajisajili vipi..je,pesa unawekaje huko Selcom pesa kwa kutumia mpesa au benki au kwa wakala.? na je,ukitaka pesa yako unaipataje na unaichukulia wapi je,wana mawakala au vituo mitaani.?
πππMKUU PUNGUZA JANJA JANJA, UPO NA MAKANJANJA HAPA! LIPIA TANGAZO!
wanavutia wateja, biaahara bado mpya hapa. Wanajua ni vipi watarejesha hasara yao kama ipoHuu mchongo nilipewa na mdau wangu mmoja..aisee chap nikaipata miamala milefu makato ni 400 mpaka nikajua wamekosea
ππHali ni ngumu waheshimiwa. Matangazo lazima yawekwe kijanjaSawa Selcom tumekusikia. Lipia tangazo.