Selcom Pesa ulikuwa wapi wakati watanzania tunapigika vikali pasi na huruma?

Tatizo app Yao Nikisha ingiza Nida no ina disappear kabisa kweny screen najikuta ntaanza upya kuunga ingekua n rahis kujiunga nengesha kua mtumiaji wao
 
Selcom pesa kwa lugha rahisi ni simbanking ya benki ya selcom. Bank hii mwanzo ilikuwa inajulikana kama Access bank na baadae kununuliwa na wahindi na kuipa jina Selcom.

Ukweli hawa jamaa kwa sasa wanafanya vizuri sana.
 
Asante Kwa tangazo.
 
Shida mwanzoni ni kama wanavuta wateja ivi then baadae wanarudi pale walipo kina voda na tigo(yas) {Oligopoly firms}
Hapana Mkuu nadhani kampuni za Kikenya nyingi issue ya Transaction fee kwao iko Chini sana Mimi Natumia Equity bank na Selcom Pesa makato ni nusu ya wanaokata vendors wengine, Very convenient
 
Huduma za kwa wateja ni janga sana hawa Selcom !! wajirekebishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ