selebriti

selebriti

eti hii imekaaje?
Mange Kimambi vs Julius Mgaya aka KIM - Wazalendo Forums


inaonekana kule kwenye source mwenyewe aliifuta lakini wenzie walimzidi kete

I hope next time atakuwa makini zaidi. In the meantime hii eti mnaionaje au ndio mambo ya kuchafuana?

Mange kimambi kazidi kuchafua watu. hiyo blog yake imekuwa kama ze utamu, anatukana watu kweli. Aendlee kucheza, hajui watu wangapi wanamtafuta. shingo lake litatolewa siku moja afanye kuendelea kuchafua watu. Sasa Kim kamfanyia nini huyu changudoa? Ningekuwa Kim ningemtoa kabisa roho huyu mange. Anajifanya anazo kumbe hamna lolote, **** tu
 
Halaf ukifuatilia mahojiano kwenye hyo blog yake just after KIM'S story utagundua amedanganya abt muda alioanza kuishi na mama yake wa kambo.
At 1st kasema baba yake alifoji mwaka wa kuzaliwa kwenye passport yake ili aonekane ana miaka 7plus ili akaishi nae, baadae anasema kaanza kuishi na mama wa kambo akiwa na miaka 2.
Halaf mtoto wa miaka 7 na miaka 3 wanashindwa kutofautishwa kweli? Maana kasema Birth Certificate aliyokuwa nayo mama yake imetofautiana 4yrs na Passport yake aliyoitumia baba yake kumchukua.
 
tatizo mnamuogopa dio maana yaani mimi ole wake anitoe wallah angejuta,imekua sikuhizi kama vile she run TZ hata humu si tulishapigwa mkwara tusimzungumzie se is a cyber bully kuwadhalilisha wenzake as if she is clean,na hivi nyiewanawake kwanini mnapenda kuchafuana kwa issue ndogondogo?yaani she think she is the only chick in TZ to have good life mbona kuna mademu wengi wako fiti na wako kimya?i hope she will be blogging mpaka siku mzungu akiingia mitini.and what she writes has nonsenses at all ni vile hana wazazi so anaona hakuna atakayemueleza chochote.na inasemekana anaataka kujiingiza kwenye siasa 2015.all the best to her but anatakiwa kusafisha nia zake from now.
 
..na inasemekana anaataka kujiingiza kwenye siasa 2015.all the best to her but anatakiwa kusafisha nia zake from now.

Mange akiingia kwenye siasa itakuwa thru viti maalumu zaidi ya hapo akigombania kwenye majimbo hawezi kufika popote hata kijijini kwao. Yeye ni Mary Chitanda type.
 
hivi u turn ni blog au personal album ... naona imejaa mapicha wakiwa na wazungu wao!

alafu sikujua kama kunaforum inaitwa wazalendo

wacha nikajiandikishe
 
eti hii imekaaje?
Mange Kimambi vs Julius Mgaya aka KIM - Wazalendo Forums


inaonekana kule kwenye source mwenyewe aliifuta lakini wenzie walimzidi kete

I hope next time atakuwa makini zaidi. In the meantime hii eti mnaionaje au ndio mambo ya kuchafuana?

Mange Ameamua kumchafua Kim Mgaya akimuita tapeli usalama wa taifa. anamfahamu kweli Kim kumchafua kiasi hicho hadi kubandika picha yake kwenye mitandao? Pengine alikuwa anamtaka Kim kimkamkataa, akaamua kumchafua na kumuita tapeli usalama wa taifa.
 
Back
Top Bottom