xir jyerphy
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 994
- 184
mkuu samahani naomba ufafanuzi hapo hivi aru ilikua sehemu ya UD au una maanisha nini...?
hahaahaaha jifariji tuu watu tunafuata kitu roho inapenda na co jina la chuo.! So md na ww ndo bye bye tena
kumbe ndio maana vipo jirani sana.[/QUOTE
Ujirani sio kigezo vipi kuhusu muhas,sua,muce,duce nk
kumbe ndio maana vipo jirani sana.[/QUOTE
Ujirani sio kigezo vipi kuhusu muhas,sua,muce,duce nk
na vyenyewe hivyo hivyo...??
na vyenyewe hivyo hivyo...??
Udsm imezaa vyuo kibao tu na sasahivi ina vitoto vingii vinakua baadae vitaanza kujitegemea kama kaka zao muhas na sua na dada yao uclas
UDSM BABAA LAAAOOO