selected students ARU

selected students ARU

hahaahaaha jifariji tuu watu tunafuata kitu roho inapenda na co jina la chuo.! So md na ww ndo bye bye tena



Pethaaa ndio kilakitu, md ni wito tu lakini wanakufa njaaa...uhakika wa boom na ajira tayari tumeshapewa tangu first year... petroleeeeum raha tupu
 
jamn naomb kuuliza kuna mtu kati yenu aliye omba ardhi kutumia matokeo ya diploma na ameona jina lake....??
 
Back
Top Bottom