Wera wera jina langu nimeliona..chuo lini hapo st jordan.
mwana na wewe upo jordan coz gan mkuu?
Baed mkuu
mwana na wewe upo jordan coz gan mkuu?
hoya Mambaenock umeliona jina lako vile vile na course ile ile kwenye website ya jordan kama ilivyokuwa kwa airtel yatoshaaa
bila ubishi kabisa airtel yatoshaaaaa
ila wamekatili sana wamerukia choice ya tano nooooma xana
pamoja sana mkuu