SELECTED STUDENTS BY TCU/CAS IN THE 1st AND 2nd ROUND JORDAN UNIVERSITY

SELECTED STUDENTS BY TCU/CAS IN THE 1st AND 2nd ROUND JORDAN UNIVERSITY

ndugu Mbwiga ebu nakuomba tupia hayo majina hapa maana cmu zetu za kichina hazifungui pdf files.
 
We mbwiga acha kututania mzigo wote unao kwann unauachia kidogo kidogo, tupia ud na ifm nimeomba uko kaka adi sasa njia panda. BIG UP
 
Selection nusu nusu dah, wana mpango wa kutuua kwa presha tu hawa.
 
Wera wera jina langu nimeliona..chuo lini hapo st jordan.
 
hoya Mambaenock umeliona jina lako vile vile na course ile ile kwenye website ya jordan kama ilivyokuwa kwa airtel yatoshaaa

bila ubishi kabisa airtel yatoshaaaaa
ila wamekatili sana wamerukia choice ya tano nooooma xana
 
Last edited by a moderator:
dah! hawa majamaa vp humu? mbona mazaga siyaoni? hivi wanadhani wote tunafanya kazi TCU eti eeeh? mbona wanatuzingua na list hiyo? oya watu wa humu nani kaona list ya TEKU? kama vp tupia!
 
Aise hata mm wame ni katili coz ya mwisho ndio wame ni chagua
 
Back
Top Bottom