Rebson sanga
Member
- Jun 13, 2013
- 31
- 0
sasa hao waliochaguliwa vpvp tena watakuwa wamescore ngap mpaka wakachaguliwa tenaWamechaguliwa wanafunzi 1171 ,wavulana 884 na wasichana 287 from United Republic Of Tanzania - Ministry of Education and Vocational Training
bac hii ni nomaNapongeza wizara ya elimu kwa uamuzi wa busara kwa uamuzi huu mwema vijana hao watasoma kwa kujibidiisha na uingia vyuoni kuchukua shahada.
wamechukua div 4 ya 26 ili mradi uwe na credit mbili na pass 5.
Jaman ninaskia wizara imechagua majna ya wa kujiunga na kidato cha tano kwa mara ya pili je ni wep hao
mbona mm nina credit hizo mbili lakini cjachaguliwawamechukua div 4 ya 26 ili mradi uwe na credit mbili na pass 5.
hamna mwenye 26 kwa credit mbil aliyechaguliwa but walochaguliwa ni wale wenye credit zote lakin combnation hazjabalancehebu tujiulize hili; sifa ya kufanya ACSEE zimebadilikaa mpaka mtu wa C mbili aende advance level, hebu tutafakari! Na kama kweli kuna mtu ana ushaidi kuwa kuna mtu ana C mbili na kapata dv 4 ya 26 amechaguliwa gvnt school advance level auwasilishe hapa jamvini
hamna mwenye 26 kwa credit mbil aliyechaguliwa but walochaguliwa ni wale wenye credit zote lakin combnation hazjabalance