Selection for form five kwa mara ya pili mwaka 2013

Selection for form five kwa mara ya pili mwaka 2013

Rebson sanga

Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
31
Reaction score
0
Jaman ninaskia wizara imechagua majna ya wa kujiunga na kidato cha tano kwa mara ya pili je ni wep hao
 
Wamechukua hadi div 4 ya 26,ilimrddi uwe na credit 3 na d 2
 
Napongeza wizara ya elimu kwa uamuzi wa busara kwa uamuzi huu mwema vijana hao watasoma kwa kujibidiisha na kuingia vyuoni kuchukua shahada.
 
wamechukua div 4 ya 26 ili mradi uwe na credit mbili na pass 5.
 
Jaman ninaskia wizara imechagua majna ya wa kujiunga na kidato cha tano kwa mara ya pili je ni wep hao

Unawezaje kiluingia jf alaf unashndwa kuingia kwenye web ya wizara ya elimu ????? Acha uvivu na ujinga sio kila kitu lazima uambiwe humu jaribu na wewe kutafuta mwenyew ukishndwa ndo uje uombe msaada.. think big....😕:thumbup:
 
hebu tujiulize hili; sifa ya kufanya ACSEE zimebadilikaa mpaka mtu wa C mbili aende advance level, hebu tutafakari! Na kama kweli kuna mtu ana ushaidi kuwa kuna mtu ana C mbili na kapata dv 4 ya 26 amechaguliwa gvnt school advance level auwasilishe hapa jamvini
 
hamna mwenye 26 kwa credit mbil aliyechaguliwa but walochaguliwa ni wale wenye credit zote lakin combnation hazjabalance
 
hamna mwenye 26 kwa credit mbil aliyechaguliwa but walochaguliwa ni wale wenye credit zote lakin combnation hazjabalance

utakuwaje na crefit zote na comb isibalance alaf niliyaona hzo post karibu wote ni arts ndo wamepata nafasi.
kuhusu credit mbili kupata f5 ni jqmbo la kawaida kwa sababu nina rafk yangu alpat div 3 but alikuwa n credit mbili na akapata PCM na wengi wenye credit mbili ni wale wa science ndo walipata post na vicredit zao mbili
 
Acha vijana wakapige shule jaman wengne co km hawajiwez ila c mnajua kilichotokea,matokeo yalitoka yakafutwa then ucone ajabu hata selection zenyewe f5 zinaweza futwa,wakasema 2likosea!
 
Back
Top Bottom