Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787]Sikilizia ndani ya mwaka huu lazima yatoke.
Tulia usizitake sana zikakupeleka Mpakani mwa Nchi tena ukanda wa jangwa.Selection mpaka muda huu bado tu?? Kulikoni ???
Kisa Nini mpaka sasa wasipangeTulia usizitake sana zikakupeleka Mpakani mwa Nchi tena ukanda wa jangwa.
Nitumie link nijue mwanangu anapangwa chuo ganiZimeshatokaaaa jana jioni.
Wee nenda kwenye page ya tamisemi utakuta links hapo.Nitumie link nijue mwanangu anapangwa chuo gani
Tulia kijana tuko tunamalizia zitatoka muda si mrefu!Wadau naomba kuuliza selection za Form Five mwaka huu tayari zimetoka?
Lini sasa mtatoa mbona mda mrefuTulia kijana tuko tunamalizia zitatoka muda si mrefu!
Umeziona sasa selection za form 5?Lini sasa mtatoa mbona mda mrefu
Siku hiz kupata ni majaaliwa kuna One zinachaguliwa ualim wa awali usishangae.Jamn me Nina 3. 23 CBG nitachaguliwa kwel cut point zangu Ni 9. Mathematic D