kama boy yupi aliiepelekwa shule ya girls?????? ongea vi2 vyenye uhakika
Inakuwaje mtu anachaguliwa HKL akiwa na A ya physics B+ ya biology na B+ ya Chemistry wakati huo huo ana D ya history.
Pia Kuna wavulana wamepelekwa shule za girls.
Kwa ujumla hizi selection zina makosa kibaaoooo.
... Usipende kutafuniwa kila kitu