Selection Kidato 5 utata mtupu

Selection Kidato 5 utata mtupu

KIBARAone

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2015
Posts
642
Reaction score
243
Inakuwaje mtu anachaguliwa HKL akiwa na A ya physics B+ ya biology na B+ ya Chemistry wakati huo huo ana D ya history.

Pia Kuna wavulana wamepelekwa shule za girls.

Kwa ujumla hizi selection zina makosa kibaaoooo.
 
kama boy yupi aliiepelekwa shule ya girls?????? ongea vi2 vyenye uhakika
 
Kwel Kabisa! Madogo Zng Wakiume Wawl Mamepelekwa Shule Ya Girls! Mda Wote Huo Waliokuw Wanapanga Post Ndo Wametoa Madudu Haya
 
Mkuuu toaa mfanoo wa shulee za girls walizo pangiwaaa wavulanaa.....ilii wataalam waweze ku fix coz nathan watumishi wahiyo sector wapo humuu..
 
haa pole sana vijana maaana wizara yenyew ya elimu ishadebweda hiii
 
Inakuwaje mtu anachaguliwa HKL akiwa na A ya physics B+ ya biology na B+ ya Chemistry wakati huo huo ana D ya history.

Pia Kuna wavulana wamepelekwa shule za girls.

Kwa ujumla hizi selection zina makosa kibaaoooo.

Ungeweka kamfano somo lingeeleweka sana.
 
Wizara imekufa miaka kumi iliyopita lakini hilo hupaswi kushangaa wizara zote madudu yale yale watu wanaofanya madudu ni wale wale wanahamishwa wizara na ofisi unategemea nini na bado kujikomboa na hili ni kudelete ccm na wadau wake kwenye siasa ya nchi yetu
 
Back
Top Bottom