Selection kidato cha tano 2014-2015

Selection kidato cha tano 2014-2015

Tatizo vijana wanahaha sana kuhusu post kama umefaulu una wasisi gani ila kuhusu watakaenda kidato cha tano ni wote 1-3
 
Inawezekana kwani wenye div.3 ndo wanaoomba ualimu ngazi ya cheti na tayari wameshaanza kuomba.kwa hiyo waliobaki ni wa div 2 na 1.
 
Acheni kuzingua nyinyi form 5 na 6 ni division 1-3 point 31
sasa kama mnabisha wizara ishasema.
Tatizo mna mchecheto
 
Selection zitatoka baada ya kombe la dunia kumalizika,na ndio michuano inaanza leo hii! So selection n tarehe 12 au 13 july 2014,kureport katika shule uliyo pangiwa n august mosi! Kwa wale mlio hitimu msikate tamaa kwan zimebakia cku chache! Cha kufanya wewe angalia comb gani ume balance vizuri ndio uta pangiwa hiyohi
 
nisaidieni kunifahamisha mwanafunzi huyu{S0155/0005} kapangiwa wapi?
 
Back
Top Bottom