Selection kidato cha tano 2014

Selection kidato cha tano 2014

JURGE WALYOBA

Member
Joined
May 14, 2014
Posts
51
Reaction score
8
jaman wana jf,naomben msaada wenu mm nimehitimu kidato cha nne na nimepata dv iii 29 lakin comb yangu n CBG but alama za ufaulu m chemistry C,biologyB na geography D.je?nitachaguliwa kuendelea na advance?
 
Jifunze kuandika kichwa cha habari kinachowiana na swali au maelezo yako. Kama umepata point zisizo zidi kumi katika kombi yako huwa kuchaguliwa ni rahisi sana sasa wewe una point 9 hivyo bila shaka utapata.
 
Waweza chaguliwa bro! Ila kwa tetec n kuwa mwaka hu wataangalia sana kubalanc kwa komb! Ila vp kwann usiaplai chuo cha afya?Phys unangap?
 
Jifunze kuandika kichwa cha habari kinachowiana na swali au maelezo yako. Kama umepata point zisizo zidi kumi katika kombi yako huwa kuchaguliwa ni rahisi sana sasa wewe una point 9 hivyo bila shaka utapata.

mkuu kwa utaratibu wa mwaka huu jamaa ana point 12 tofauti na sasa angekuwa ndo ana point 9
 
Dah, asante kwa kunijuza, kama vipi aendelee kuvuta subira maana bila shaka selection ipo njiani kwasasa.
 
Utachaguliwa kwan minister wa education alisema kuwa kwa mwaka huu ufaulu wa somo n D na wala sio C kama miaka iliyo pita
 
Jifunze kuandika kichwa cha habari kinachowiana na swali au maelezo yako. Kama umepata point zisizo zidi kumi katika kombi yako huwa kuchaguliwa ni rahisi sana sasa wewe una point 9 hivyo bila shaka utapata.

Grade zake zinafanya awe na point 12 na co 9,,,kwani c=4,b=3 na d=5
 
jaman wana jf,naomben msaada wenu mm nimehitimu kidato cha nne na nimepata dv iii 29 lakin comb yangu n CBG but alama za ufaulu m chemistry C,biologyB na geography D.je?nitachaguliwa kuendelea na advance?

kwanza nikupongeze dogo, mbona upo matawi, kwa elimu ya kitanzania hata mwenye div 5 naye ataenda maana si unajua madarasa kibao na hayana wanafunzi, mtindo ni ule ule wa primary kwenda sekondari, hata asiyejua kusoma na kuandika naye anatinga form 1, anza tu kupasha, form five yako.
 
Nilipoanza kuisoma post yako nikazani ni ya maana sana !
 
Back
Top Bottom