JURGE WALYOBA
Member
- May 14, 2014
- 51
- 8
jaman wana jf,naomben msaada wenu mm nimehitimu kidato cha nne na nimepata dv iii 29 lakin comb yangu n CBG but alama za ufaulu m chemistry C,biologyB na geography D.je?nitachaguliwa kuendelea na advance?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jifunze kuandika kichwa cha habari kinachowiana na swali au maelezo yako. Kama umepata point zisizo zidi kumi katika kombi yako huwa kuchaguliwa ni rahisi sana sasa wewe una point 9 hivyo bila shaka utapata.
mkuu kwa utaratibu wa mwaka huu jamaa ana point 12 tofauti na sasa angekuwa ndo ana point 9
C tatu minimum kwenda advance
Una uhakika anazo point 9???
Jifunze kuandika kichwa cha habari kinachowiana na swali au maelezo yako. Kama umepata point zisizo zidi kumi katika kombi yako huwa kuchaguliwa ni rahisi sana sasa wewe una point 9 hivyo bila shaka utapata.
Nimesikia kuna taarifa ya
selection hapa,FOR IT,WEB-HOSTING
AND NEWS You are welcome maswa exclusive blogspot.
pelekaga matangazo yako jukwaa la matangazo
jaman wana jf,naomben msaada wenu mm nimehitimu kidato cha nne na nimepata dv iii 29 lakin comb yangu n CBG but alama za ufaulu m chemistry C,biologyB na geography D.je?nitachaguliwa kuendelea na advance?
kwanza nikupongeze dogo, mbona upo matawi, kwa elimu ya kitanzania hata mwenye div 5 naye ataenda maana si unajua madarasa kibao na hayana wanafunzi, mtindo ni ule ule wa primary kwenda sekondari, hata asiyejua kusoma na kuandika naye anatinga form 1, anza tu kupasha, form five yako.
Nilipoanza kuisoma post yako nikazani ni ya maana sana !