Selection Kujiunga Form 5 zimetoka?

Selection Kujiunga Form 5 zimetoka?

pgasper

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
311
Reaction score
70
Zikitoka znaanikwa kwenye website?
Ya NECTA au Wizara ya Elimu?
Nauliza hivi bcoz niko nje ya nchi hadi September na nina kidbrother kwa sasa yuko bush country anasubir selection kama atapata.
Asanteni kwa ushirikiano.
 
Zikitoka znaanikwa kwenye website?
Ya NECTA au Wizara ya Elimu?
Nauliza hivi bcoz niko nje ya nchi hadi September na nina kidbrother kwa sasa yuko bush country anasubir selection kama atapata.
Asanteni kwa ushirikiano.

Kwani ulipata ngapi?
 
Kwani ulipata ngapi?
Sio mimi,
ila alikuwa na III22 (Physics C, Chemistry C, Maths C, Biology B) mengine hayakuwa mazuri.
kwa hapo nadhani PCM, PCB, CBG anatapata.
Selection zimetoka fukunyungu ?
 
Last edited by a moderator:
kikete.jpg
 
Tupatie matokeo yake kabla hawaja standardise.
 
Zikitoka znaanikwa kwenye website?
Ya NECTA au Wizara ya Elimu?
Nauliza hivi bcoz niko nje ya nchi hadi September na nina kidbrother kwa sasa yuko bush country anasubir selection kama atapata.
Asanteni kwa ushirikiano.

Uko UK(Ukerewe) au uko kwa Obama (Rorya)
 
Watu wakishakuwa nje ya nchi wanajidai hawajui mambo ya kwao! Ww selection zako ulizionaje?? We unafikiri zaidi ya kuwekwa kwenye hizo website mbili zitawekwa kwenye facebook au kwenye web ya wizara ya afya???
 
yan hii nchi majanga ma2pu sasa -hawa form 5 -wataripot lini au ndo mpaka waende jkt
 
Private washaanza kupiga msuri sasa sijui yeye mpaka muda huu anasubiri nini home au ndo kusema hana hela ya private?
 
Jamani mimi sha choka kukaa nyumbani au mpaka tupige mimba watoto wa viongozi
 
Aaaaah kweliiiiii!!!!!!!! mi nisha zila ata wakizileta mwakan poa tu!!! ila sijajua tutazpata vp izo post ze2
 
Uwakika labda wiki ijayo, otherwise tuisubirie tu serikali sikivu teh teh!
 
M nlishakataga tamaa wakae tu na hizo posts zao sijawahi kuona wizara uozo kama hii.
 
Back
Top Bottom