Kufanya Mtihani wa Form 6 In General Uwaga ni Credit (C) 3 za masomo yoyote Yale.
Lkn ufanywaji wa Mtihan wa Form 6 umegawanyika sehemu 2.
a) School Candidate (SC) huyu Mwanafunzi anatakiwa awe na PASS Grade kwenye Combination yake Mfano PGM mtu alie na Physics D , Geography C & Mathematics C km Ufaulu mdg zaidi O Level atafanya Mtihan km School Candidate haijalishi C yake ya 3 ni ya somo gani
B) Private Candidate (PC) hapa ni Mwanafunzi yoyote mwenye sifa ya kufanya Mtihani wa Form 6 (Credit 3) aliekosa nafasi km School Candidate (SC) ss hapa ndy hata km Una F kwenye Combination yako ni haina shida Mfano PGM Mtu ana Physics D , Geography C & Mathematics F Huyu atafanya Mtihan wa Kidato cha Sita vzr tu lkn atakaa km Private Candidate
Note:
PC ana kila Haki aliyonayo SC kwenye manufaa au faida baada ya kumaliza form 6 hisipokuwa Kuwa Tanzania One (TO) au Kupata Best Performance Kwa Somo husika. Kifupi PC ata apate 100 masomo yake yote sijui GS 100, Physics 100, Geography 100 & Advance Mathematics 100 hawezi kutangazwa km TO na wala hawezi kupata Certificate ya Best Student wa Somo lolote.
Mkazo kwenye Kupangiwa Kidato cha 5 Shule ya Serikali lzm uwe na 5C+ (Credit 5+) kwenye matokeo yako ya Kidato cha nne. Km ukiwa nazo na umekosa subiria second round utachaguliwa tu.