Selection post lini kidato cha tano 2014 /2015

Sijui wanasubiri tulipie ada na kushona uniforms za watoto wetu kwenye shule zao private ndio watangaze.

Maana Tanzania ya leo lolote linawezekana...kila kitu viongozi wanafanya dili....wanachangamkia fursa za kukandamiza wananchi badala ya kuwasaidia. Inakera sana nchi hii!
 
Pigia watoto tuition utaona cku zinavyokwenda.
 
Muuliza swali hii ndio Tanzania inafanya kazi Kwa mazoea na matukio, hivyo wanasubiri mitihani ya f6 iishe ndipo selection ianze tegemea majibu mwisho wa mwezi wa sita
 
muuliza swali hii ndio tanzania inafanya kazi kwa mazoea na matukio, hivyo wanasubiri mitihani ya f6 iishe ndipo selection ianze tegemea majibu mwisho wa mwezi wa sita
kweli wasichoke kusubiri
tusichoke
 
Last edited by a moderator:
Uongozi mzima wa wizara upo dodoma kwa ajili ya bajeti,tusubiri wakirudi.
 
et kesho kutwa ndio zinatoka dah yaan mawazo kupwa na kujaa na nan anasema et three hawaend advanc......ikiwa hvy siwapi kura yang ccm
 
Tusibiri tu hii ndo ccm


Msomi wewe CCM inaingiaje hapo ?
Hebu tulia tu vitu vyote hivi vyakupotezea muda?
Mi nakuwa bored sana vijana mnapohalakia !

Mbona maisha matamu tu ! Nunua Mpira na jezi kama alivyofanya fungi ! Anapiga zoezi tu

Battery low sahizi kanunua P5 ana surf tu !

kaparo aloizay anavizia wanafu........ No joking buddy Relax !
 
Last edited by a moderator:

snipa Malizia tu haina shida.
 
Last edited by a moderator:
Shule zote za Kanisa katoliki wanamaliza baadhi ya topic za form five..
 
mnataka mkasome ili baadae muwe mafisadi kama wazazi wenu wa sisiemu! kama ndio hivyo nafuu tuu msisome kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…