Selection post lini kidato cha tano 2014 /2015

Selection post lini kidato cha tano 2014 /2015

mnataka mkasome ili baadae
muwe mafisadi kama wazazi wenu wa sisiemu! kama ndio hivyo nafuu tuu
msisome kamwe

Dah haya mahaba na huo ukawa yamezidi sasa.Mpaka mtu mzima anajitoa ufahamu kiasi hiki.
 
Msomi wewe CCM inaingiaje hapo ?
Hebu tulia tu vitu vyote hivi vyakupotezea muda?
Mi nakuwa bored sana vijana mnapohalakia !

Mbona maisha matamu tu ! Nunua Mpira na jezi kama alivyofanya fungi ! Anapiga zoezi tu

Battery low sahizi kanunua P5 ana surf tu !

kaparo aloizay anavizia wanafu........ No joking buddy Relax !

hahaha weka picha
 
Last edited by a moderator:
Mkuu snipa leo umeamkia jf .
Kuhusu post kuna mtabiri Humu.
Cc mikulo Alitabiri na kuweka mabano (uhakika) mwaka jana!
kwahiyo we fungi, Rabiel emu mchekin huyu jamaa inbox ama muiten amalize hii thread!
 
Last edited by a moderator:
wana jf tumechoka kuzunguka nyumban vp n lin hii wizra itatupangia shule?

acheni fujo bwana..nyie sio wa kwanza.post zitatolewa tu kuweni na subira.kama umefaulu baasi wasi wa nini. Cha msingi mu discuss mtaishi vp advance zingine ni fujo tu.nyie sio wa kwanza kucheleweshewa post.sawa
 
serkali gan hii isiyoenda na wakat
ukitaka waende haraka wakati kipindi chenu wanajitahidi wengi wapangiwe sasa wakikosea kazi.maana kuna mambo mengi.unawafundisha kazi.selection zikiwa tayari mtazipata tu
 
Back
Top Bottom