mnataka mkasome ili baadae
muwe mafisadi kama wazazi wenu wa sisiemu! kama ndio hivyo nafuu tuu
msisome kamwe
Msomi wewe CCM inaingiaje hapo ?
Hebu tulia tu vitu vyote hivi vyakupotezea muda?
Mi nakuwa bored sana vijana mnapohalakia !
Mbona maisha matamu tu ! Nunua Mpira na jezi kama alivyofanya fungi ! Anapiga zoezi tu
Battery low sahizi kanunua P5 ana surf tu !
kaparo aloizay anavizia wanafu........ No joking buddy Relax !
wana jf tumechoka kuzunguka nyumban vp n lin hii wizra itatupangia shule?
ukitaka waende haraka wakati kipindi chenu wanajitahidi wengi wapangiwe sasa wakikosea kazi.maana kuna mambo mengi.unawafundisha kazi.selection zikiwa tayari mtazipata tuserkali gan hii isiyoenda na wakat