Selection Tumaini university Makumira 2014

Ebana mm nimejikuta ktk list natafuta mtu mwingine ambaye amechaguliwa makumira unv
 
Ongereni jamani!!! msaada jamani nataka nijue majina ya UDOM!!!
 
Naomba mniagalizie majina ya makumira SELINA P DANIEL na JUMANNE HAMIS.Ntafurahi nikisaidiwa kwan mm hayafunguki.
 
Naomba mniagalizie majina ya makumira SELINA P DANIEL na JUMANNE HAMIS.Ntafurahi nikisaidiwa kwan mm hayafunguki.

Selina namwona kachaguliwa baed ila jumanne simwoni, labda ka umekosea jina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…