Selection Tumaini university Makumira 2014

Ebana mm nimejikuta ktk list natafuta mtu mwingine ambaye amechaguliwa makumira unv
 
Naomba mniagalizie majina ya makumira SELINA P DANIEL na JUMANNE HAMIS.Ntafurahi nikisaidiwa kwan mm hayafunguki.
 
Selina namwona kachaguliwa baed ila jumanne simwoni, labda ka umekosea jina
 
Back
Top Bottom