Selection upload TCU

Selection upload TCU

Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipomshukuru Ze duduz kwa kuweza kui2liza presha yangu kwa kuweka hiyo link ambayo na mimi jina langu limepatikana..
So this means im headin Udsm..
Destiny here i come

much respect to u ze duduz n i hop u'l find ur name in Bvm list of sua..Over

shukran xana kaka vp umeenda kozi gani?
 
aisee mbona kama naona mapicha picha bado..sielew elew
 
Arts with education
Untitled.png
wale wa sim i've gaht lots of free tym jipangeni
 
wa kwanza ana 12.5 wa mwisho ana 6.5 cut off so either it wasn't ur day or haujafika hapo, haumo
 
wadau mmekimbilia wapi?? GODWINNKO, MPIGAMSULI, LORDVILLE, FIDELIS

asante sana mdau..cjakimbia nlikua nakodolea macho katv changu m4c dar..sasa mdau hyo file nimelidownload kwenye cm usiku huu ila sasa nimeshindwa kuliopen lakini cm yangu ina uwezo wa kusoma pdf,sasa nimeshindwa kuelewa tatizo ni nini au halipo in pdf..???
 
zinatofautiana kwa kila kozi but kwa hiyo koz yako ndo hizo nlizokwambia
 
Back
Top Bottom