Selection upload TCU


shukran xana kaka vp umeenda kozi gani?
 
Kwa yeyote naomba anichekie raimund kyando niliomba apo ud plz!
 
aisee mbona kama naona mapicha picha bado..sielew elew
 
Arts with education

wale wa sim i've gaht lots of free tym jipangeni
 
wa kwanza ana 12.5 wa mwisho ana 6.5 cut off so either it wasn't ur day or haujafika hapo, haumo
 
wadau mmekimbilia wapi?? GODWINNKO, MPIGAMSULI, LORDVILLE, FIDELIS

asante sana mdau..cjakimbia nlikua nakodolea macho katv changu m4c dar..sasa mdau hyo file nimelidownload kwenye cm usiku huu ila sasa nimeshindwa kuliopen lakini cm yangu ina uwezo wa kusoma pdf,sasa nimeshindwa kuelewa tatizo ni nini au halipo in pdf..???
 
zinatofautiana kwa kila kozi but kwa hiyo koz yako ndo hizo nlizokwambia
 
Kwani ud mwisho wamechukua cut off points ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…