Jamani,kama kuna anae weza kuyaweka haya majina ili hata sie tunaotumia simu tuweze kuyaona vizuri atusaidie kuyaweka vzr.
zinatofautiana kwa kila kozi but kwa hiyo koz yako ndo hizo nlizokwambia
jamany wadau nimedownload lakini cm imeshindwa kuliopen hilo file,natumia e72 nina adobe na quickoffice lakini chakushangaza quickoffice imeshindwa kuliopen au sabab file ni kubwa sana..?
View attachment 61500Tumalize ubishi ingia kwenye hio link ujionee mwenyewe