Selection vyuo vya afya weka hapa e-mail yako ungaliziwe umepangwa wapi

Selection vyuo vya afya weka hapa e-mail yako ungaliziwe umepangwa wapi

Link ninayotumia kuangalizia wtu kuwa wamepangwa wpi leo ina sumbua hvyo ikiwa ok nitawachekia
 
Naomba uniangalizie chuo alichochaguliwa mwenye email address hii magdaphile@yahoo.com
 
Ndugu yako amechaguliwa bukumbi nursing ila inaonekana hajacomfirm na anaombwa kucomfirm fanya haraka sana nenda kwenye profile yake ukomfirm 0789697993 kwa msaada zaidi
 
Amechaguliwa bukumbi magdaphile ila hajacomfirm unatakiwa nenda kwenye prfile yake ukofirm 0789697693 kwa msaada zaid
 
Back
Top Bottom