Selection vyuo vya afya weka hapa e-mail yako ungaliziwe umepangwa wapi

Selection vyuo vya afya weka hapa e-mail yako ungaliziwe umepangwa wapi

Jamani kama kuna mtu anayefahamu kuhusu selection za ualimu atujuze make kwenye mitandao hakuna chochote hata necta hayapo
 

mwambaga@gmail.com


Ndugu yako amechaguliwa bukumbi nursing ila inaonekana hajacomfirm na anaombwa kucomfirm fanya haraka sana nenda kwenye profile yake ukomfirm 0789697993 kwa msaada zaidi



Naomba uniangalizie email yang monica.magese@yahoo.com

innocentkatoto@gmail.com

niangalizie hiyo jombaaa

Ujumbe kwenu wote msiwe manapenda kutoa contact zenu kwa watu msio wajua na sehemu za wazi kama mlivyofanya hamjui madhara ya mnachokifanya,kuna biashara za kuuza e-mails za watu.Wengi wenu mmeambia "no records found".Sasa hizi e-mails zenu mnaweza kufikiria zinaweza kutumiwaje?
 
selection zimetoka sawa tunashkur sasa inakuaje inshu ya join instruction zinatoka lini wale wa iambi school of nursing tujulishane jamaaani
 
Back
Top Bottom