A
Anonymous
Guest
Selection za chuo kikuu hazijawatendea haki baadhi ya waombaji, Kuna mwombaji ameandikiwa Hana sifa Kwa sababu alifeli somo Moja la core ilihali alifaulu somo hilo. Pia baadhi ya vyuo kama UDSM na SUA wamefungua dirisha la pili bila kuonesha course ambazo zmeshajaa, hii inafanya waombaji wanaoomba nafas dirisha la pili kuwa katikat wakati mgumu.