KERO Selection za chuo kikuu hazijawatendea haki baadhi ya waombaji

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Selection za chuo kikuu hazijawatendea haki baadhi ya waombaji, Kuna mwombaji ameandikiwa Hana sifa Kwa sababu alifeli somo Moja la core ilihali alifaulu somo hilo. Pia baadhi ya vyuo kama UDSM na SUA wamefungua dirisha la pili bila kuonesha course ambazo zmeshajaa, hii inafanya waombaji wanaoomba nafas dirisha la pili kuwa katikat wakati mgumu.
 
udsm na sua hakuna second selction
 
Udsm mnaipendea nini maana ishajaa hujui elimu ni ileile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…