Selection za Open University of Tanzania

Selection za Open University of Tanzania

Nizzo

Member
Joined
Nov 20, 2011
Posts
95
Reaction score
37
Heshima yenu wakuu,naomba kujuzwa kwa anayejua kama OUT wametoa majina wanaojiunga na masomo ya 2012/2013,kama hawajatoa je wanategemea kutoa lini? nimejiunga na kozi ya degree.Thanks
 
Kozi ya degree ndio ikoje shehe?
 
wekeni link hapa waangalie wenyewe,hivi tarehe ya kujiunga lini wakuu?
 
Back
Top Bottom