Nizzo Member Joined Nov 20, 2011 Posts 95 Reaction score 37 Jul 20, 2012 #1 Heshima yenu wakuu,naomba kujuzwa kwa anayejua kama OUT wametoa majina wanaojiunga na masomo ya 2012/2013,kama hawajatoa je wanategemea kutoa lini? nimejiunga na kozi ya degree.Thanks
Heshima yenu wakuu,naomba kujuzwa kwa anayejua kama OUT wametoa majina wanaojiunga na masomo ya 2012/2013,kama hawajatoa je wanategemea kutoa lini? nimejiunga na kozi ya degree.Thanks
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Jul 20, 2012 #2 Kozi ya degree ndio ikoje shehe?
Mpigamsuli JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 3,885 Reaction score 582 Jul 20, 2012 #3 Mmh labda tusubiri kidogo kuwa wastaamilivu
Mpigamsuli JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 3,885 Reaction score 582 Jul 20, 2012 #4 Mmh labda tusubiri kidogo kuwa mstaamilivu
Scofied JF-Expert Member Joined Jun 5, 2012 Posts 2,456 Reaction score 1,673 Jul 30, 2012 #5 wekeni link hapa waangalie wenyewe,hivi tarehe ya kujiunga lini wakuu?