ham ha JF-Expert Member Joined May 13, 2013 Posts 283 Reaction score 48 Aug 31, 2013 #1 fungua website ya tcu fuata link, ingiza namba yako ya form four halaf jina la kwanza na la mwisho utaona selection yako. jina lisipotaka bac subiri baada ya mda kidogo ingiza tena utaona ulipochaguliwa.
fungua website ya tcu fuata link, ingiza namba yako ya form four halaf jina la kwanza na la mwisho utaona selection yako. jina lisipotaka bac subiri baada ya mda kidogo ingiza tena utaona ulipochaguliwa.
Tangopori JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 1,628 Reaction score 1,285 Aug 31, 2013 #2 Na sio lazima uingize info zote hizo! Ukiingiza tu namba zenyewe ukasearch inakupa pia ukiingiza tu firstname na surname ukasearch inakupa!
Na sio lazima uingize info zote hizo! Ukiingiza tu namba zenyewe ukasearch inakupa pia ukiingiza tu firstname na surname ukasearch inakupa!
N Nyigo Jackson Jn Member Joined Sep 2, 2013 Posts 88 Reaction score 7 Sep 2, 2013 #3 inshort wametulaizishia! shida kwa hawa jamaa wanajiita HESLB
J Jburton Member Joined Sep 5, 2013 Posts 5 Reaction score 0 Sep 5, 2013 #4 Jamani wale wa udsm 2juane bas
Landcruiser JF-Expert Member Joined May 27, 2013 Posts 1,805 Reaction score 599 Sep 5, 2013 #5 Jburton said: Jamani wale wa udsm 2juane bas Click to expand... Chunga sana UDSM utakunywa supu semister ya kwanza.
Jburton said: Jamani wale wa udsm 2juane bas Click to expand... Chunga sana UDSM utakunywa supu semister ya kwanza.