Selection za tcu zimetoka

Selection za tcu zimetoka

ham ha

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2013
Posts
283
Reaction score
48
fungua website ya tcu fuata link, ingiza namba yako ya form four halaf jina la kwanza na la mwisho utaona selection yako. jina lisipotaka bac subiri baada ya mda kidogo ingiza tena utaona ulipochaguliwa.
 
Na sio lazima uingize info zote hizo!
Ukiingiza tu namba zenyewe ukasearch inakupa
pia ukiingiza tu firstname na surname ukasearch inakupa!
 
Back
Top Bottom