Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mkuu kuna vyuo vitakosa wanafunzi maana wanafunzi wengi hawajafikisha 4.5.
hiyo moja. pia walio wengi wame base sana kwenye mikopo. safari hii tutashuhudia watoto wa wenye nacho wakienda chuo chochote na waliosalia ni Education wakiwemo wanaojaza hata ambavyo hawana sifa nazo kama ulivyo cautionKwa hiyo mkuu kuna vyuo vitakosa wanafunzi maana wanafunzi wengi hawajafikisha 4.5.