kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Tareh 3 soma almanac hiyoWakuu mko salama?
Kwa wanaojua ebu wanieleweshe,nimewafanyia maombi ya vyuo ndugu zangu wako huko jkt lkn mpaka sasa sijaona chuo kilicho publish selection.
Naomba kwa anaejua selection za vyuo ni lini zinatoka anijulishe maana kwenye websites za vyuo kama udsm,udom,mzumbe,mucobs na hata saut hawajaeleza chochote.
Website ya tcu ndio imelala usingizi wa pono tangu July 15 haijafanyiwa update yoyote.
3 SeptemberWakuu mko salama?

tayari zimetok3 September
Chuo ganitayari zimetok
BugandoChuo gani
Kwa vyuo vingine bado ettyBugando
chuo gani ambacho badoKwa vyuo vingine bado etty