akili akili
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,737
- 1,102
Sijapenda kabisa kuachwa kwa GuedeMsimu ujao utakua una ushindani mkubwa sanaa
Napata hisia za Simba kuchukua ubingwa sababu ya laana ya Guede anayoiacha Yanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijapenda kabisa kuachwa kwa GuedeMsimu ujao utakua una ushindani mkubwa sanaa
Napata hisia za Simba kuchukua ubingwa sababu ya laana ya Guede anayoiacha Yanga
Thiiimbaaaa 5imba Guvu Moya.Nimeshituka kuona seleman matola anaendelea kuwa ni sehemu ya benchi la ufundi kama kocha msaidizi. Sina mashaka na uwezo wa matola , Sina wivu naye , ila simba wangehitaji mabadiliko wangebadili kabisa huu mfumo, what so special kwa matola , makocha karibu nane wameondolewa matola akiwa ni sehemu ya benchi,kwani hakuna makocha wengine wazawa ambao wanaoijua Simba vizuri, ambao watakuwa msaada kwa kocha mpya, ukimsikiliza aliye kuwa kocha wa makipa Simba anadai even video analysit wa timu ni MUNGU mtu pale , kile ni kipimo Cha kuwa Kuna shida kwenye timu kuanzia kwenye management hadi kwa wachezaji, kilichotokea kwa kuwaondoa inonga na chama kuwa sehemu ya timu kinahitajika hata kwenye benchi la ufundi , otherwise tunadanganyana, kwa hali hii Kabla ya Christmas huyu kocha wa Simba hatakuwa sehemu ya timu
Matola ni kirusi na bacteria wa team, hatakiwi kuwepo palee.Huyo jamaa huwa nikimuona najua Simba hatutoboi. Kama tumefanya maamuzi magumu ya kumuacha Chama, huyu Matola ni wa kazi gani. Simba sijui Kuna Viongozi gani?. Sikio la Kufa. Mnafanya usajili mzuri ila huyo mnafiki mnamuacha hapo.