Seleman Matola kuwa Tena sehemu ya benchi la ufundi la Simba ni kwamba timu ipo palepale

Kwa nini ninyi utopolo inawauma sana Matola kuwepo Simba?
 
Ligi imekua ya hovyo mno.

Yanga anachukua ubingwa kila mwaka.

Timu mbovu kama Yanga ikichukua ubingwa ujue ligi imeshuka sana thamani.
 
Thiiimbaaaa 5imba Guvu Moya.
 
Huyo jamaa huwa nikimuona najua Simba hatutoboi. Kama tumefanya maamuzi magumu ya kumuacha Chama, huyu Matola ni wa kazi gani. Simba sijui Kuna Viongozi gani?. Sikio la Kufa. Mnafanya usajili mzuri ila huyo mnafiki mnamuacha hapo.
Matola ni kirusi na bacteria wa team, hatakiwi kuwepo palee.
 
Matola ndy anayejuwa mambo yote ya kamati ya ufundi,,
Simba nashauri msiachane na matola..

Msisikilize kelele za watu wa NYUMA MWIKO FC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…