huyu kocha inaonekana n kipenz Cha mwekezaj na wanasimba kwa ujumla
Haiwezekani makocha karibu watatu wanafukuzwa naye akiwa kama kocha msaidizi ila yeye haguswi hata kidogo
Mm nadhan Kama tunamuamin bas tumpandishe Sasa awe kocha mkuu kama ujuz ameshapata tayari
Nawe SELEMAN MATOLA n muda Sasa wa kuwa kocha mkuu katika timu za ligi kuu bara au hata nje
Mbona uliweza kuifanya timu ya lipuli kuwa timu tishio had kucheza fainal ya fa
Makocha wa kitanzania wapo radhi wawe waokota mipira katka timu z Simba na yanga kisa mshahara mkubwa hawajar taaluma zao