Seleman Matola ni kocha wa kipekee sana

Seleman Matola ni kocha wa kipekee sana

Peramiho yetu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
5,303
Reaction score
14,983
huyu kocha inaonekana n kipenz Cha mwekezaj na wanasimba kwa ujumla

Haiwezekani makocha karibu watatu wanafukuzwa naye akiwa kama kocha msaidizi ila yeye haguswi hata kidogo

Mm nadhan Kama tunamuamin bas tumpandishe Sasa awe kocha mkuu kama ujuz ameshapata tayari

Nawe SELEMAN MATOLA n muda Sasa wa kuwa kocha mkuu katika timu za ligi kuu bara au hata nje

Mbona uliweza kuifanya timu ya lipuli kuwa timu tishio had kucheza fainal ya fa

Makocha wa kitanzania wapo radhi wawe waokota mipira katka timu z Simba na yanga kisa mshahara mkubwa hawajar taaluma zao
 
Matola kawa kama Othman Bilali"Bilo,"huyo Bilal yeye huwa hatakagi ukocha mkuu ili kikinuka afukuzwe kocha mkuu alafu yeye kocha msaidizi abakie.
 
Huyu mwamba sijui ndiye mkurugenzi wa kamati ya ufundi pale msimbazi! Ifikie wakati ajiongeze bhana.
Kama hawamuamini kuwa kocha mkuu, akafundishe timu ndogo zinazofundishwa na makocha kutoka Kenya, Uganda na Burundi.
 
Kocha Matola na Mchezaji Jonas Mkude hao ndio wenye timu. Wengine wote ni wageni.

(Hao wanajua hadi namna ya kuwasha moto na ubani ili timu ipate ushindi, wageni ndio wanaokataa matumizi ya ubani na kupelekea timu kufungwa)
 
Na huyo ndiye kirusi ndani ya Simba SC Basi tu hawajangamua
 
huyu kocha inaonekana n kipenz Cha mwekezaj na wanasimba kwa ujumla

Haiwezekani makocha karibu watatu wanafukuzwa naye akiwa kama kocha msaidizi ila yeye haguswi hata kidogo

Mm nadhan Kama tunamuamin bas tumpandishe Sasa awe kocha mkuu kama ujuz ameshapata tayari

Nawe SELEMAN MATOLA n muda Sasa wa kuwa kocha mkuu katika timu za ligi kuu bara au hata nje

Mbona uliweza kuifanya timu ya lipuli kuwa timu tishio had kucheza fainal ya fa

Makocha wa kitanzania wapo radhi wawe waokota mipira katka timu z Simba na yanga kisa mshahara mkubwa hawajar taaluma zao
Kuwa kocha msaidizi Simba ni bora zaidi kuliko kuwa kocha mkuu timu kama Mbeya Kwanza, Polisi etc
Ndio maana unakuta makocha wenye CV kubwa kama Kazi,Mwinyi Zahera wapo Yanga
 
Back
Top Bottom