Pre GE2025 Selemani Bungara (Bwege): tatizo kubwa la Tundu Lissu ni kusema ukweli sana

Pre GE2025 Selemani Bungara (Bwege): tatizo kubwa la Tundu Lissu ni kusema ukweli sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mzee Bwege Mungu aendelee kumlinda.

Alikutana na changamoto ya kukatwa mguu naona amepatwa tena na mtihani wa stroke,pole sana mzee wangu huko ulipo.
 
Back
Top Bottom