Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 2,060 Reaction score 5,648 Jan 21, 2025 #1 Wakuu Ukweli unaweza kugeuka sumu, Bwege naye kasema TAL tatizo ni mkweli kupiliza Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Selemani Bungara maarufu kama Bwege anasema tatizo kubwa la Tundu Lissu ni kusema ukweli sana. Soma: Musiba: Tundu Lissu hafai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ni mkweli mno Your browser is not able to display this video.
Wakuu Ukweli unaweza kugeuka sumu, Bwege naye kasema TAL tatizo ni mkweli kupiliza Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Selemani Bungara maarufu kama Bwege anasema tatizo kubwa la Tundu Lissu ni kusema ukweli sana. Soma: Musiba: Tundu Lissu hafai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ni mkweli mno Your browser is not able to display this video.
Pang Fung Mi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2022 Posts 6,653 Reaction score 13,919 Jan 21, 2025 #2 Waufukweni said: Wakuu Ukweli unaweza kugeuka sumu, Bwege naye kasema TAL tatizo ni mkweli kupiliza Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Selemani Bungara maarufu kama Bwege anasema tatizo kubwa la Tundu Lissu ni kusema ukweli sana. Soma: Musiba: Tundu Lissu hafai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ni mkweli mno View attachment 3209263 Click to expand... Muwazi, mkweli na mwaminifu
Waufukweni said: Wakuu Ukweli unaweza kugeuka sumu, Bwege naye kasema TAL tatizo ni mkweli kupiliza Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Selemani Bungara maarufu kama Bwege anasema tatizo kubwa la Tundu Lissu ni kusema ukweli sana. Soma: Musiba: Tundu Lissu hafai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ni mkweli mno View attachment 3209263 Click to expand... Muwazi, mkweli na mwaminifu
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 Jan 21, 2025 #3 Ndo tunamtaka huyo huyo
C Chief Mwigendya Senior Member Joined Nov 28, 2024 Posts 172 Reaction score 136 Jan 21, 2025 #4 Kiongozi lazima ajipambanue kwa msimamo wake, nyeupe nyeupe, nyeusi nyeusi ukishindwa kujipambanua utakuwa kama Mbowe.
Kiongozi lazima ajipambanue kwa msimamo wake, nyeupe nyeupe, nyeusi nyeusi ukishindwa kujipambanua utakuwa kama Mbowe.
JET SALLI JF-Expert Member Joined Dec 1, 2014 Posts 2,392 Reaction score 1,578 Jan 21, 2025 #5 Waufukweni said: Wakuu Ukweli unaweza kugeuka sumu, Bwege naye kasema TAL tatizo ni mkweli kupiliza Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Selemani Bungara maarufu kama Bwege anasema tatizo kubwa la Tundu Lissu ni kusema ukweli sana. Soma: Musiba: Tundu Lissu hafai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ni mkweli mno View attachment 3209263 Click to expand... Kwa Tanzania na CCM iliyojaa uhuni na kunuka kwa rushwa anaitajika msema kweli ndani ya kundi la washenzi walio oza kimaadili.
Waufukweni said: Wakuu Ukweli unaweza kugeuka sumu, Bwege naye kasema TAL tatizo ni mkweli kupiliza Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Selemani Bungara maarufu kama Bwege anasema tatizo kubwa la Tundu Lissu ni kusema ukweli sana. Soma: Musiba: Tundu Lissu hafai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ni mkweli mno View attachment 3209263 Click to expand... Kwa Tanzania na CCM iliyojaa uhuni na kunuka kwa rushwa anaitajika msema kweli ndani ya kundi la washenzi walio oza kimaadili.
A Administer JF-Expert Member Joined Feb 9, 2020 Posts 1,271 Reaction score 1,604 Jan 21, 2025 #6 Waufukweni said: Wakuu Ukweli unaweza kugeuka sumu, Bwege naye kasema TAL tatizo ni mkweli kupiliza Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Selemani Bungara maarufu kama Bwege anasema tatizo kubwa la Tundu Lissu ni kusema ukweli sana. Soma: Musiba: Tundu Lissu hafai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ni mkweli mno View attachment 3209263 Click to expand... BWEGE NI BWEGU TU
Waufukweni said: Wakuu Ukweli unaweza kugeuka sumu, Bwege naye kasema TAL tatizo ni mkweli kupiliza Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Selemani Bungara maarufu kama Bwege anasema tatizo kubwa la Tundu Lissu ni kusema ukweli sana. Soma: Musiba: Tundu Lissu hafai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ni mkweli mno View attachment 3209263 Click to expand... BWEGE NI BWEGU TU
The Worst JF-Expert Member Joined Sep 12, 2021 Posts 6,108 Reaction score 21,140 Jan 21, 2025 #7 Mzee Bwege Mungu aendelee kumlinda. Alikutana na changamoto ya kukatwa mguu naona amepatwa tena na mtihani wa stroke,pole sana mzee wangu huko ulipo.
Mzee Bwege Mungu aendelee kumlinda. Alikutana na changamoto ya kukatwa mguu naona amepatwa tena na mtihani wa stroke,pole sana mzee wangu huko ulipo.