Selemani Jaffo jiandae Kuulizwa uwe Waziri Mkuu 2020 hadi 2025 uchukue nafasi ya Kassim Majaliwa au uandaliwe kuwa Rais 2025 hadi 2035

Kuanzia sasa Ndugu Selemani Jaffo jiandae kuwa na Majibu Kamili juu ya hayo Mambo Mawili makubwa niliyokuambia katika Headline yangu hapa.
Mkubwa CCM ni chama kubwa, kuna njia za kuandaa rais, mbinu ya alivyopatikana JK will never ever repeat, ila njia iliyotumika kumuandaa na hatimaye kumpitisha JPM will forever be used. Hivyo hata mroge vipi hamtakuja kufahamu exactly rais ajaye. Hii inasaidia kumpunguzia rais ajaye kuwa compromised na wahuni. Faida ni jinsi Dkt Magufuli alivyo, he is so honest, humble na mwenye uzalendo wa hali ya juu wa kuipenda nchi yake, ametuvusha na sasa tunajisikia fahari ya kuwa watanzania
 
Kama mnaongelea 2025, watakuja kujitokeza vijana wengi wenye uwezo mtashangaa, the likes of Anton Mtaka.
 
Haiwezi kutokea PM atamaliza miaka yake 10 then 2025 anachukua nchi alafu PM wake anakuwa Anthony Mtaka [emoji124][emoji124]
 
Endelea Kujidanganya tu na ninakutaarifu hapa hapa kabisa kuwa Majaliwa ana 5% tu za Kurejea kuwa Premier 2020 lakini Jaffo ana zote 95%.
majaliwa kwani atataka kurejea tena mjengon tena so ndo muda wa kupumzika
 
Kuanzia sasa Ndugu Selemani Jaffo jiandae kuwa na Majibu Kamili juu ya hayo Mambo Mawili makubwa niliyokuambia katika Headline yangu hapa.

Jaffo ni mmoja wa products halisi za JPM hivyo waweza kuwa sawa na utabiri wako.

Ila kuna yule kijana mwingine anaelita lile jimbo ambalo sasa hivi limekucha hapa DSM, pia usimsahau nae yupo mbioni.
 
Nakumbuka Jaffo ilikuwa almanusura apigwe chini na Kingwendu kule Kisarawe, sasa huyu ndo awe Rais?[emoji2][emoji2][emoji2]
 

Makamba Ondoa kabisa hapo
Wameharibu sana tena na hii issue ya juzi ya Burundi ndiyo Kabisa
imewazika Mazima...
 
Nimempuuza sana na block imemuhusu kabisa

Wewe Bwege unavyojimwambafai hapa kuwa sijui Umenibloku kwani Mimi nilikuita katika huu Uzi wangu? Kwani Ukinibloku ninadhurika labda?
 
Mnafanya mwendelezo wa kutuletea maRais washamba. Rais with 0 exposure ya ndani na nje ya mipaka. Hapana bora HM na JM.
 
Hapana ana dharau sana mi nimeuliza kama kusherehesha yeye kaja kwa kijeli za dharau

Tena siyo tu kwamba nina Dharau sana bali pale nikikutana na Mpumbavu kama wa Mfano wako ndiyo ninakuwa na Dharau zaidi na Kali kabisa.
 
Kassim Majaliwa bado anatosha sana, ameitendea haki nafasi yake

Sakata la Korosho na Pesa alizopiga huko huku akianza Kuitumia TAMISEMI Kipindi kile Kujiimarisha kwa Urais wa 2025 ndiyo Vinamgharimu sasa.
 
Unataka kusema Mungu alishindwa kumuondolea kigugumizi???

Kama Leo unashangaa akina Jaffo wenye hivyo Vigugumizi mbona huulizi kwanini Mungu huyu huyu amewaumba Vilema wengine wengi? Swine!!
 
Huo ndiyo ugonjwa sugu uliyo jazana kwenye mioyo ya wana lumumba, ubaguzi kwao ndiyo silaha pekee waliyo bakia nayo.
Huu ubaguzi sijui kautoa wapi na alikuwa anawaza nini sijui [emoji38][emoji38]
 
Endelea Kujidanganya tu na ninakutaarifu hapa hapa kabisa kuwa Majaliwa ana 5% tu za Kurejea kuwa Premier 2020 lakini Jaffo ana zote 95%.
Huwezi kuwa lundo la mawaziri wakuu wastaafu uncessarily. Majaliwa is there up to 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…