Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Mkuu mbona unampigania sana Jaffo? Mwanzoni niliamini kuwa labda upo jikoni hivyo unatuletea yaliyo pikwa huko, lkn sasa naona unatumia nguvu ya ziada sana
Umeshajiuliza ni kwanini katika Biblia Takatifu pamoja na kwamba Musa ( Moses ) Mkombozi wa wana Israeli alipomwambia Mwenyezi Mungu kuwa hawezi kwenda Kuwakomboa wana wa Israeli kule Misri kwa Farao kwakuwa hajui Kuongea Kuongea ana Kigugumizi ( Stammerer / Speech Impaired ) na amchague Mtu mwingine aende, lakini bado Mwenyezi Mungu alimkatalia na akasema Yeye ( Musa ) ndiyo aende na atampa Msaidizi wake Aron? Leo hii unapombagua na kumpinga Selemani Jaffo kwa Kigezo cha Yeye kuwa na Kilema chake cha Kuongea unajua kuwa hakuna Rais mwenye Kigugumizi kikali kama Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda? Mwisho nikuombe tu kama Wewe ni Mcha Mungu hapo ulipo Piga Goti Tubu Kwake kwa Kitendo chako cha Kuudharau Uumbaji wake kwa huyo Selemani Jaffo ambaye unakicheka na kukidharau hicho Kigugumizi chake lakini tambua ya kwamba HUJAFA HUJAUMBIKA hapa duniani.