Selemani Jaffo jiandae Kuulizwa uwe Waziri Mkuu 2020 hadi 2025 uchukue nafasi ya Kassim Majaliwa au uandaliwe kuwa Rais 2025 hadi 2035

Selemani Jaffo jiandae Kuulizwa uwe Waziri Mkuu 2020 hadi 2025 uchukue nafasi ya Kassim Majaliwa au uandaliwe kuwa Rais 2025 hadi 2035

Mkuu mbona unampigania sana Jaffo? Mwanzoni niliamini kuwa labda upo jikoni hivyo unatuletea yaliyo pikwa huko, lkn sasa naona unatumia nguvu ya ziada sana
Umeshajiuliza ni kwanini katika Biblia Takatifu pamoja na kwamba Musa ( Moses ) Mkombozi wa wana Israeli alipomwambia Mwenyezi Mungu kuwa hawezi kwenda Kuwakomboa wana wa Israeli kule Misri kwa Farao kwakuwa hajui Kuongea Kuongea ana Kigugumizi ( Stammerer / Speech Impaired ) na amchague Mtu mwingine aende, lakini bado Mwenyezi Mungu alimkatalia na akasema Yeye ( Musa ) ndiyo aende na atampa Msaidizi wake Aron? Leo hii unapombagua na kumpinga Selemani Jaffo kwa Kigezo cha Yeye kuwa na Kilema chake cha Kuongea unajua kuwa hakuna Rais mwenye Kigugumizi kikali kama Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda? Mwisho nikuombe tu kama Wewe ni Mcha Mungu hapo ulipo Piga Goti Tubu Kwake kwa Kitendo chako cha Kuudharau Uumbaji wake kwa huyo Selemani Jaffo ambaye unakicheka na kukidharau hicho Kigugumizi chake lakini tambua ya kwamba HUJAFA HUJAUMBIKA hapa duniani.
 
Nimegundua huna akili na nishakujua hivyo hunisumbui hata

Kinyiriko changu tayari kipo tayari Ndugu baada ya Kuniuliza kama nimeshakunywa Chai na sasa nakusikiliza Wewe ili Kinyiriko Kinyinyirike Kwako.
 
Majaliwa ni miaka 10. Labda ajiandae kuwa Rais October 2025. Ila huyo Majaliwa naye atautaka wadhifa huo. Hivyo bado ni kikwazo kwa huyo Jafo wako.
 
Mumemsahau vipi Mhe Makongoro Nyerere! Anafaa kuwa waziri Mkuu 2020.

Ameshaacha tabia yake ya Kulewa sana Pombe na Kuchukua Migoma na Kupenda Vibinti vidogo vidogo huku akivinyiri sana Kwake pale Msasani?
 
Mkuu mbona unampigania sana Jaffo? Mwanzoni niliamini kuwa labda upo jikoni hivyo unatuletea yaliyo pikwa huko, lkn sasa naona unatumia nguvu ya ziada sana

Mbona Unateseka sana na Mimi Ndugu?
 
Hizi habari akiziona January atafurahi Sana maana Majaliwa ni kikwazo kwake. Lakini pia hatafurahia mtu anayeinuliwa maana naye atakuja kuwa kikwazo tena kwake.
 
Naendelea tena Kusisitiza kuwa Jaffo achague ama awe Premier 2020 - 2025 au aandaliwe rasmi kuja kuwa President kwa 2025 - 2035 nimemaliza.

Kwahiyo CHADEMA mnawapa ujumbe gani hapa, hivi mnawachukuliaje!
 
Mzukulu!nimekuelewa sana!!swali hilo hilo ameulizwa mwinyi junior !je unataka kuwa raisi zanzibar 2020 au JMT 2025?Amejibu vema kuwa Jmt 2025 hivyo prof. makame kipenzi cha jiwe kaula!!!
 
Endelea Kujidanganya tu na ninakutaarifu hapa hapa kabisa kuwa Majaliwa ana 5% tu za Kurejea kuwa Premier 2020 lakini Jaffo ana zote 95%.
Hivi mnaangalia cost analysis lakini?
 
Madaraka ni sawa na ushetani kabisa maana mtu yupo tayari ammalize mwenzake kisa madaraka!
Hizi habari akiziona January atafurahi Sana maana Majaliwa ni kikwazo kwake. Lakini pia hatafurahia mtu anayeinuliwa maana naye atakuja kuwa kikwazo tena kwake.
 
Kuanzia sasa Ndugu Selemani Jaffo jiandae kuwa na Majibu Kamili juu ya hayo Mambo Mawili makubwa niliyokuambia katika Headline yangu hapa.
Mtu mwepesi vile Kama tishu awe Rais hivi nyie wehu mmekumbwa n ugonjwa gani?hili tambala lenyewe limetuchosha mnataka leta tishu tena[emoji3]
 
Watu mnajua kufanya uchunguzi, yaani hata habari za jikoni mnazipata?
Mzukulu!nimekuelewa sana!!swali hilo hilo ameulizwa mwinyi junior !je unataka kuwa raisi zanzibar 2020 au JMT 2025?Amejibu vema kuwa Jmt 2025 hivyo prof. makame kipenzi cha jiwe kaula!!!
 
Duuu jamani hii ni asubuhi tuvumiliane ingawa jamaa anaonekana yupo very aggressive kulazimisha hoja yake ikubaliwe
Hapana ana dharau sana mi nimeuliza kama kusherehesha yeye kaja kwa kijeli za dharau
 
Huo ndiyo ugonjwa sugu uliyo jazana kwenye mioyo ya wana lumumba, ubaguzi kwao ndiyo silaha pekee waliyo bakia nayo.
Huu udini ulionao katika kichwa chako na halafu unajiita Jaji mfawidhi kuna walakini na hivi vyeo wanavyovipata watumishi wa umma
 
Back
Top Bottom