Selena Gomez, C.Ronaldo na Kim Kardashian ndo mastaa waotengeneza mkwanja mrefu kupitia Insta

Selena Gomez, C.Ronaldo na Kim Kardashian ndo mastaa waotengeneza mkwanja mrefu kupitia Insta

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,696
Reaction score
2,253
mastaa.jpg

Instagram sio tena sehemu ya kupost picha pekee kwaajili ya kuuza sura kama zamani, mtandao huyo kwa sasa unawaingizia pesa nyingi baadhi ya mastaa duniani.

Staa wa soka Cristiano Ronaldo na muimbaji Selena Gomez na Kim Kardashian ndio mastaa pekee wanaolipwa pesa nyingi kwa post moja ya tangazo instagram.

Selena ambaye ni namba moja analipwa pound 425400 ambazo ni zaidi ya Tsh Bilioni 1.2, kwa upande wa Ronaldo ambaye ni namba tatu analipwa pound 309382 ambazo ni zaidi ya Tsh milioni 800.

Chanzo: Bongo5
 
Duuhh hyo kibongo bongo si unaweza kuwa unapost kila dkk
 
Back
Top Bottom