Selena Gomez: Huwa nafuta App ya Mtandao wa Instagram kwenye simu yangu walau mara moja kila wiki

Huyu ndio alikua anaongoza kwa wafuasi wengi instagram duniani

Si akaumwa bana akaitelekeza kwa muda akaunti yakeeee weeeee ronaldo akampita na mpaka sasa hawezi tena mfikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…